DCU inahakikisha kuwa viwango vyote vya ujenzi, miongozo na taratibu za ujenzi zinafuatwa ipasavyo kama sheria au kanuni zinavyoelekeza
Pia DCU inakagua hatua mbalimbali za ujenzi.
Ni Kuongeza udhibiti wa maendeleo kupitia ufanisi, mfumo wa uwazi na shirikishi wa matumizi endelevu ya ardhi na maendeleo hapa Zanzibar
Copyright ©2023 DCU