Hakuna kibali cha ujenzi karibu na maeneo ya Pwani kama inavyoonekana katika picha hapo juu.
Tunatoa idhini ya ujenzi. Pia tunatoa kibali cha kukamilika kwa jengo kabla ya kuanza kutumika rasmi.
Ni Kuongeza udhibiti wa maendeleo kupitia ufanisi, mfumo wa uwazi na shirikishi wa matumizi endelevu ya ardhi na maendeleo hapa Zanzibar
Copyright ©2023 DCU