MPANGO
Inamaanisha mpango wa mitaa au mwongozo uliopendekezwa kuongoza maendeleo katika eneo husika
Tunasimamia utekelezaji wa Mpango wa Matumizi ya Ardhi, na Sekta za Mipango ya Mitaa au Mwongozo wowote wa mipango uliopitishwa na Idara ya Mipango Miji na Vijiji au Mamlaka yoyote ya Mipango.
UJENZI MAENEO YA WAZI
DCU inahakikisha kuwa maeneo ya wazi na barabara za umma zinajengwa kama ilivyoainishwa na Sekta za Mipango miji.
Ni Kuongeza udhibiti wa maendeleo kupitia ufanisi, mfumo wa uwazi na shirikishi wa matumizi endelevu ya ardhi na maendeleo hapa Zanzibar
Copyright ©2023 DCU